Jumamosi, 24 Juni 2017

TID kuwashtaki OMG na Quick Rock



 Msanii wa Bongo Fleva, TID amesema atawachukulia hatua za kisheria kundi la OMG pamoja na boss wao Quick Rocka kutokana na kutumia wimbo wake ‘Watasema Sana’ bila kumshirikisha.

 kupitia mtandao wa instagram TID ameandika, “Wat is this….?! Hivi ndio mnapata Magari yenu!? @quickrocka & @omgtanzania we need to TALK #Watasema, ameandia msanii huyo. Naomba tukutane Central Police huwezi kutumia Haki zangu hivihivi Kabla sijafanya kitu kibaya nahitaji million 20 compensation… This song ni Awards mbili Za Kisima Music Awards 2005 inKenya u can’t just Steal it, Unalala Ndani Leo.”

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni