
Naamini utaona kama ni ajabu kusikia
kuna paka mwenye sura mbili, lakini hii sio ajabu tena paka wa waina hii
wapo..ila leo tujadili Frank na Louie …ambapo hayo majina ni kutokana na uso
wake lakini ana mwili mmoja. Paka huyu
alikuwa na sura mbili, midomo miwili, pua mbili na macho matatu.
Paka huyu aliishi miaka 15 na alikufa siku ya
alhamisi 4 mwezi wa kumi na mbili 2014 kutokana na maradhi yanayoaminika kuwa ni kansa.
Paka huyu ameingizwa kwenye rekodi ya kidunia kama kiumbe wa ainayake aliyewahi kuishi umli mkubwa zaidi, hii inatokana na kuwa jamii ya viumbe wanamna hii huwa hawaishi muda mrefu, badala yake hufa muda mfupi baada ya kuzaliwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni