mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumapili, 9 Septemba 2018
Muonekano mpya wa Ommy Dimpoz Baada ya Kupata Nafuu
Msanii
wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amekuwa akipatiwa matibabu Afrika Kusini
mara dada ya kufanyiwa upasuaji wa koo. Hizi ni picha za mwanzo kabisa
za muimbaji huyo tangu alivyopata nafuu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni