Wakati familia ya marehemu Maria na Consolata ikitaka miili ya
mapacha hao ipelekwe mkoani Kagera kwa mazishi kanisa katoliki Jimbo la
Iringa limeeitaka familia hiyo kutumia busara kumaliza mvutano uliopo
ili mapacha hao wazikwe Tosamaganga mkoani Iringa kama ilivyopangwa
Kujitokeza kwa kanisa kumesababishwa na familia ya Maria na Consoalata
upande wa mama yao kutaka mapacha hao wakazikwe Bukoba mahali alikozikwa
mama yao mazazi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni