Mbao FC mbele ya wadhamini wao wakuu GF Trucks wamemtangaza Amri Said kuwa kocha wao mpya mkuu na ataanza kukinoa kikosi hiko kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu msimu wa 2018/19.
Kama humfahamu Amri Said alikuwa mchezaji wa zamani wa club ya wekundu wa Msimbazi Simba, kabla ya kuamua kustaafu na kuingia rasmi katika kazi ya ukocha wa mchezo wa mpira wa miguu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni