Ijumaa, 1 Juni 2018

Mafundi wametengeneza Majeneza mfano wa Samaki







 
Leo June 1, 2018 Dunia haiishi vituko kila kukicha unaambiwa hivi huko nchini Ghana mafundi wanaotengeneza majeneza wamejichukulia umaarufu mkubwa duniani kwa kuwa wabunifu wa kutengeneza majeneza yenye maumbo mbalimbali yenye kushangaza.
Zamu hii wamekuja na jeneza lenye umbo mfano wa samaki na inaaminika jeneza hili linatoka huko Teshi ambako kuna jamii ya wavuvi iliyo nje kidogo na mji mkuu wa Accra.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni