Beki wa zamani wa klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza na sasa
klabu ya Fenerbahce ,Martin Skrtel wiki hii amepost picha akiwa
mapumzikoni katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Serengeti Four Seasons
Safari Lodge,Tanzania.
Skrtel hajaweka wazi kama bado yupo Tanzania au tayari ameshaondoka
kwa kuwa mastaa wengi hutoa taarifa za uwepo wao muda mchache baada ya
kuondoka.
Mchezaji huyo aliandika “When you spend the day, watching for Lions Günü aslanlari izleyerek geciriyoruz #46 #tanzania #summer2018 #martinskrtel #holidays #fenerbahçe,”
Aliongeza, “There is always something new out of Africa… Afrikadan herzaman yeni birsey cikiyor #tanzania #ngorongoro #serengeti #safari #summer2018 #martinskrtel #fenerbahçe,”
Mastaa wengine ambayo tayari wameshatembelea Tanzania katika Mbuga
zetu ni pamoja na David Beckham, Morgan Schneiderlin wa Everton pamoja
na wengine we
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni