Jumatatu, 14 Mei 2018

SIMBA MAMBO NI MOTO




Image may contain: 9 people, people sitting



Image may contain: 20 people, people smiling, people standing
 Image may contain: 2 people, people smiling, people standing













Image may contain: 4 people, people sitting, suit and indoor
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim, Spika wa Bunge, Job Ndugai na baadhi ya wabunge ambao pia ni wapenzi wa Simba SC Tanzania walipoweka kanda uheshimiwa wao na kujumuika pamoja na Mabingwa wa Kombe la VPL 2018, Timu ya Simba ilipozuru Bungeni leo, jijini Dodoma.
Jioni hii pia mabingwa hao wanaosubiri kukabidhiwa kombe lao wamealikwa kwa ajili ya chakula cha jioni Jijini Dodoma.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni