Kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye uwanja wa Parc Olympique Lyonnais, Ufaransa, ulishuhudia Atletico wakiibuka na ushindi wa mabao 3-0. Tazama picha za kombe hilo lilivyotembezwa mitaani.
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumamosi, 19 Mei 2018
shuhudia: Atletico Madrid walivyotembeza kombe la Europa League mitaani
Klabu ya ska ya Atletico Madrid ya Hisania, Ijumaa hii imelitembeza
mitaani kombe la Europa League ambalo walishinda Jumatano ya Mei 16 kwa
kuifunga Olympique de Marseille kwenye mchezo wa fainali.

Kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye uwanja wa Parc Olympique Lyonnais, Ufaransa, ulishuhudia Atletico wakiibuka na ushindi wa mabao 3-0. Tazama picha za kombe hilo lilivyotembezwa mitaani.

Kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye uwanja wa Parc Olympique Lyonnais, Ufaransa, ulishuhudia Atletico wakiibuka na ushindi wa mabao 3-0. Tazama picha za kombe hilo lilivyotembezwa mitaani.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni