Jumamosi, 12 Mei 2018

Rais Magufuli atinga ofisi ndogo za CCM





 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi(CCM),Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea ofisi za chama hicho zilizopo Lumumba jijini Dar es salaam.
 

Rais Magufuli akiwa ofisini hapo amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM – Bara, Ndugu Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Ndugu Abdulrahaman Kinana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni