Watu wawatu walinusurika kifo katika ajali hiyo lakini wako katika hali mahututi na wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Calixto Garcia, daktari Carlos Alberto Martinez amesema.
Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa imebeba jumla ya watu 111, ikiwa ni pamoja na abiria, waziri wa usafiri, Adel Yzquierdo, aliviambia vyombo vya habari.
Watu walioshuhudia wamesema kwamba waliona moshi mwingi ukipaa angani kutoka eneo la ajali hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni