wanachama wa vyma vya ushirika katika halmashauri ya wilaya kilombero mkoani morogoro, wametakiwa kujenga umoja na mshikamano ili kuepuka migogoro mbalimbali katika vyama hivyo .
akizungumza katika mkutano wa chama cha ushirika wa chita maarufu kama chipelekesi , afisa ushirika katika halmashauri ya wilaya ya kilombero bwana johnson makolo amewataka viongozi na wanachama wa chipelekesi kuepuka migogoro ya mara kwa mara ili ushirika wao usonge mbele.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni