mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumamosi, 12 Mei 2018
mvua zaharibu miundombinu jimbo la mlimba
ni katika wilaya kilombero ndani ya tarafa ya mlimba [jimbo la mlimba]mwandishi wa blog hii amekutana na changamoto ya uharibifu mkubwa wa miundombinu katika jimbo hilo kama picha zinavyoonyesha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni