Ijumaa, 25 Mei 2018

MSIMAMO: Baada ya mechi moja ya leo, sasa mchezo wa mwisho kati ya Yanga na Azam utakaopigwa Jumatatu Mei 28, 2018 saa 2:00 usiku ndiyo utakaoamua nafasi ya pili kwenye msimamo wa #VPL Pia mechi mbili za Majimaji vs Simba na Ndanda vs Stand United ndizo zitakazoamua timu ya kuungana na Njombe Mji kwenye Ligi Daraja la Kwanza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni