Ijumaa, 25 Mei 2018

Meneja wa Dr. Shika kazungumza, Ni kweli Mabilioni ya Dkt. Shika yamefika..?





 Meneja wa Dr. Louis Shika ambaye anafahamika kwa jina la Catherine Kahabi amesema kuwa kwa taarifa zilizopo ni kweli fedha imefika lakini ipo namna ya kujiridhisha na hawezi kuongea in deep kwakua hajafuatilia sana kwani alikuwa busy ila atalifuatilia kujua zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni