Jumamosi, 19 Mei 2018

Mambo ni hivi katika harusi ya kifalme Uingereza.Prince Harry muda si mrefu atakuwa mume wa Meghan Markle.





 Angalia umati huo, hiyo ni sehemu tu ya wageni waliojipanga barabarani kushuhudia tukio hilo la kihistoria kwa waingereza.Prince Harry anaoa mke mwenye damu yenye asili ya Afrika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni