
aziri mkuu wa Tamhuri ya muungano wa tanzania Mh. Kassim Mjawali amewataka wananchi, kuvitumia vizuri na kuvitunza vituo vitatu ambavyo vimejengwa na nguvu zao wananchi pamoja na mampuni binafsi vikishirikiana na serikali.
Vile vile amempongeza bwana patel kwa kujenga mwanzo hadi mwisho kwa kujenga kituo cha mburahati kutokana na kuona changamoto wanazopata wana mburahati.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni