Gigy Money kwa sasa ni balozi wa bidhaa za Bull Condom ambapo kwa sasa anatoa kinga hizo katika maeneo tofauti tofauti.
Gigy Money ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Intagram ikiwa ni wiki mmoja imepita tangu Amber Lulu kuweka wazi kuwa balozi hata hivyo hakuweka wazi ni kwa bidhaa zipi.
Mwaka jana kulikuwa na taarifa za ujio wa bidhaa za kondomu kutoka kwa rapper Joh Makini hata hivyo kumekuwa na ukimya wingi wa hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni