Jumla ya wachezaji 20 na viongozi 11 wakiwemo nane wa benchi la ufundi wamekuwa sehemu ya msafara huo.
Wawakilishi hao wa Tanzania Bara katika michuano ya klabu bingwa Barani Afrika, Yanga walikubali kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa Township Rollers FC katika mchezo wa awali uliyopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni