Mkurugenzi
wa Mawasilano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa
nayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Rais Dkt Magufuli
ametengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla
Msigwa amewataka wananchi kuipuuza taarifa hiyo kwani ni uzushi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni