Klabu ya Simba imetangaza wachezaji wake watakao ingia uwanjani hii
leo kuikabili timu ya Al-Masry kutoka Egypt katika kombe la Shirikisho
barani Afrika mchezo utakao pigwa dimba la Taifa jijini Dar es Salaam
majira ya saa 12:00 ya leo jioni.
1-Aishi Manula, 2-Shomary Kapombe, 3-Asante Kwasi, 4-Yusuph Mlipili, 5-Erasto Nyoni, 6-James Kotei, 7-Shiza Kichuya
8-Jonas Mkude, 9-John Bocco, 10-Emmanuel Okwi, 11-Nicholas Gyan
Kikiso cha akiba
-Said Mohamed Nduda, -Mohamed Hussein, -Juuko Murshid, -Said Ndemla, -Mwinyi Kazimoto, -Mzamiru Yassin, -Laudit Mavugo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni