Ripoti hiyo ambayo imehusisha nchi 156 duniani imeonesha nchi nyingi za Afrika zimeshika nafasi 10 za chini kwenye orodha hiyo ambapo Burundi, Afrika ya Kati, Sudani Kusini, Tanzania, na Rwanda z.
Nchi nyingine zilizoingia kwenye 20 bora ya nchi zenye furaha zaidi ni Denmark, Iceland, Switzerland, Uholanzi na Canada.

Marekani na China licha ya kuwa nchi zenye uchumi imara lakini wananchi wake wameonekana kutokuwa na furaha, ripoti hiyo imesema kuwa ni kutokana na mgawanyiko wa masuala ya kisiasa.
Marekani mwaka 2017 ilikuwa nafasi ya 14 mwaka huu imeshika ya 18, huku India na China zikishuka nafasi 7 ukilinganisha na mwaka jana.
Kwa upande wa nchi 10 za mwisho au zilizoshika mkia kwenye orodha hiyo ya nchi 156 zenye furaha zaidi imo Burundi ambayo ni ya 156, Afrika ya Kati 155, Sudan Kusini 154, Tanzania 153 imesalia kwenye nafasi yake ya mwaka jana na Rwanda ya 151.
1-BurundiNchi ilizofanya maajabu kwenye ripoti hiyo kutoka Afrika ni Togo ambayo imepanda kwa nafasi 18 kutoka nafasi ya mwisho mwaka 2015, nakuifanya itoke kwenye orodha ya nchi zilizoshika mkia.
2-Central African Republic
3-South Sudan
4-Tanzania
5-Yemen
6-Rwanda
7-Syria
8-Liberia
9-Haiti
10-Malawi
Sababu za nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania wananchi wake kukosa furaha ni Magonjwa, Viribatumbo, Madeni, migawanyiko/mipasuko ya kisisasa na msongo wa mawazo.
Ripoti hiyo inatoka ikiwa zimebaki siku tano kufikia siku ya furaha duniani ambayo huadhimishwa tarehe 20 mwezi Machi kila mwaka.
Soma zaidi ripoti hiyo -> World Happiness Report 2018
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni