Leo March 12, 2018
stori nayokusogezea ni inayomhusu Mbunge wa Uganda ambae amewaacha watu
wakishangaa baada ya matamshi yake yaliyoonekana kuunga mkono wanawake
kupigwa na waume zao.
Twinamasiko Onesimus, anaewakilisha jimbo la
Bugangaizi Mashariki amesema manaeno hayo yakushangaza akiwa katika
mahojiano na kituo cha televisheni cha NTV Uganda.“Kama mwanaume lazima umuadhibu mke wako mguse kidogo, mkamate na umnyooshe vizuri”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni