Jumapili, 11 Machi 2018

MSIMAMO: Baada ya mechi tano za leo za raundi ya 22 #VPL, Tanzania Prisons imeikamata rasmi nafasi ya nne, Azam FC ikionja tena nafasi ya pili, wakati Mbao FC ikizidi kudidimia. Kesho ni Yanga vs Stand United

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni