Alhamisi, 8 Machi 2018

MSIMAMO: Baada ya mechi sita za raundi ya 21 kukamilika kwa mechi nne za leo, msimamo wa #VPL leo unaonesha Azam FC kupanda hadi nafasi ya pili ikiishusha Yanga huku Lipuli FC ikirejea kwenye nafasi yake ya saba. Kesho ni Yanga SC vs Kagera Sugar

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni