Jeshi la Polisi katika Mkoa Kipolisi Tarime /Rorya limemkamata mtu
mmoja aliyefahamika kwa jina la DENIS ONDIGO mkazi wa Shirati mkoani
Mara kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka mitatu.
Mtuhumiwa huyo ni Baba mlezi wa mtoto anayedaiwa kubakwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni