Jumatano, 7 Machi 2018

#KombeLaShirikishoAfrika Simba wanaandika bao lwa kwanza kwa mkwaju wa penati uliopigwa na John Bocco baada ya mchezaji wa Al Masry kuzuia mpira kwa mkono katika eneo la hatari. Simba SC 1-0 Al Masry.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni