Jumatatu, 5 Machi 2018

KOCHA WA TOWNSHIP ROLLERS ASEMA KESHO YANGA HACHOMOKI NI KICHAPO TU

KOCHA WA TOWNSHIP ROLLERS ASEMA HAYA KUHUSU YANGA KUELEKEA MECHI YA KESHO

 Kuelekea mechi ya kesho kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers ya Botswana katika mchezo wa Ligi Ya Mabingwa Afrika, Kocha Nikola Kavazovic, amesema analijua soka la Afrika.

Kavazovic amesema amekuwa akilifuatilia vizuri soka la Afrika, na timu yake ipo tayari kupambana na wapinzani katika mchezo wa kesho.



Licha ya kulijua soka la Afrika, Kavazovic, amesema amekuwa akiifuatilia pia Yanga katika michezo mbalimbali ya kimataifa iliyocheza, huku akieleza ameshaitazama ikicheza miwili ya nyumbani na miwili ya ugenini.

Licha ya kuifuatilia Yanga, Kavazovic 
Township Rollers itacheza mchezo wa kesho baada ya kuwaondoa Al Merrikh katika mchezo uliopita.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni