Jumapili, 11 Machi 2018

CHINA WAPITISHA URAIS USIO NA UKOMO:

Rais wa China, Xi Jinping huenda akasalia madarakani nchini humo hadi mwisho wa uhai wake baada ya bunge la nchi hiyo kufanya mabadiliko ya katiba na kuondoa ukomo wa muda wa rais kukaa madarakani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni