
Mzee Ngoma katikati na mtoto wake Asha Ngoma kushoto kwenye picha
“Mzee bado anaumwa na bado anahitaji matibabu, tulikuwa tunaiomba serikali kwamba iweze kumuangalia kwa jicho la pekee kwa sababu kafanya kitu kikubwa kama hicho halafu anaishi maisha ya hovy hovyo, yaani anapata matibabu ambayo hayaeleweki, yaani tunatamani kwamba atleast angekuwa hospitalini kama wanavyotibiwa watu wengine wa heshima,“amesema Asha Mhero Ngoma kwenye mahojiano yake na Bongo5.
Bi. Asha amesema kwa sasa kama kuna Mtanzania ambaye ameguswa kwa lolote na angependa kumsaidia Mzee Ngoma anaweza kuwasiliana na familia hiyo kwa namba 0718350042 Au 0784835742.
SOMA NA HII – Mzee aliyegundua Tanzanite ataka kuonana na Rais Magufuli ‘nachekwa hali yangu mbaya’Mzee ngoma anasumbuliwa na ugonjwa wa kupooza na amekuwa akitibiwa mara kwa mara lakini bado hali yake haijatengamaa hadi leo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni