Jumanne, 20 Februari 2018

ZIARA YA WAZIRI WA ELIMU CHUO KIKUU CHA KAMPALA


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Ndalichako afanya ziara ya kushtukiza katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala apokelewa na wanafunzi huku uongozi wa shule ukikosekana.
Ashangazwa na wanachuo wa mwaka wa kwanza licha ya kufanyiwa utambulisho wa mazingira na uongozi wadaiwa kutofahamu viongozi wakuu wa chuo.


 Katika ziara hiyo pia Idara ya Uhamiaji imefanikiwa kuwakamata wafanyakazi wa kigeni 33 wakiwemo walimu ambao wanadaiwa kutokuwa na vibali kati ya wakijaribu kuruka ukuta kukwepa mkono wa sheria.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni