Jumamosi, 17 Februari 2018

#VPL MSIMAMO: Baada ya 'sare-sare' mbili kutokea katika mechi mbili za leo, zile timu tatu za mwisho zimeendelea kubaki katika nafasi zake huku Singida United ikishindwa kuishusha Azam FC katika nafasi yake ya tatu.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni