mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumamosi, 17 Februari 2018
UJENZI UWANJA WA NDEGE SONGWE -
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye ameiagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege TAA kumchukulia hatua za kisheria mkandarasi DP Shaprya kwa kushindwa kukamilisha ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa kimataifa wa Songwe licha ya kuomba kuongezewa muda.
January 31 mwaka huu ndio mkandarasi huyo alitakiwa kukabidhi jengo baada ya kumuahidi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa alipotembelea jengo hilo Novemba mwaka jana. Tayari bilioni tisa zimeshatolewa lakini hadi sasa kazi haijakamilika.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni