Majengo hayo yameporomoka baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi katika mji huo lenye kipimo cha 6.4 lililoupiga mji huo wa kitalii usiku wa kuamkia Jumatano ya leo.
Inaelezwa kuwa watu wengi waliokuwa ndani ya majengo hayo bado wamenasa humo na juhudi za kuwanasua zinaendelea. Mji huo unakadiriwa kuwa na wakazi takribani 100,000
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni