Rais Magufuli, kutunuku kamisheni maafisa wapya wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Watakaotunukiwa kamisheni ni maafisa wapya wa Tanzania na kutoka nchi marafiki 197 waliopata mafunzo katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli mkoani Arusha.
Rais Magufuli ameanza kwa kutoa zawadi kwa waliofanya vizuri zaidi katika mafunzo hayo. Miongoni mwao ni pamoja na mwanafunzi aliyefanya vizuri katika medani zote.
Akifuatiwa na aliyefanya vizuri darasa.
Aliyefanya vizuri zaidi katika wanafunzi wote.
Aliyefanya vizuri kwa wanafunzi wa kigeni, Mkundane Beka

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni