Kamanda Mambosasa amesema “Kuna kuhamasishana kupitia mitandao kuna watu wanaendelea kuhamasisha Wananchi kuvunja sheria, wanataka wajiandae kwa maandamano, wanafanya hivyo wao wakiwa wamekaa mahali ambapo ni salama”.
“Wanataka kuwaingiza Watanzania wengine kwenye shida, ninawaomba Watanzania amabao siku zote wanajua thamani ya amani wajiepushe na uchochezi huo, ninachotaka kusema kwa Kanda Maalum ya DSM yeyote ambaye atashindwa kupokea haya ninayosema asijutie yatakayotokea” -Mambosasa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni