hayo yamesemwa na mkuu wa mkoa wa morogoro Dk Steven Kebwe katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya sheria ngazi ya mkoa , iliyofanyika manispaa y morogoro.
dk kebwe ambaye alikuwa mgeni rasmi alionya watumishi wa mahakama kuachana na vitendo vya rushwa ili kutoa haki kwa raia. sambasamba na raia kutojichukulia sheria mikononi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni