Vyombo
vya habari nchini humo vilisema kuwa raia huyo wa Brazil aliwasili kwa
ndege kutoka mji wa Belém do Pará, kaskazini mwa Brazil.
Haijulikani
ni vipi polisi walifanikiwa kugundua hilo. Mwanamume mwingine ambaye
anatuhumiwa kuwa angepokea dawa hizo alikamatwa kwenye kituo cha treni
cha mji huo.
Wanaume
hao watakabiliwa na kesi ya ulanguzi wa madawa ya kulevya. Mwezi
uliopita polisi nchini Ureno na Uhispania walikamata cocaine ndani ya
mananasi yaliyokuwa yamesafirishwa kutoka Amerika ya Kusini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni