Jumatano, 14 Februari 2018

MSIMAMO: Baada ya Yanga kuizamisha Majimaji 4-1, imeendelea kuisogelea Simba katika msimamo wa #VPL huku Majimaji ikiiipisha Kagera nafasi ya 14 na kushuka hadi nafasi ya 15.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni