Alhamisi, 22 Februari 2018

MKUTANO WA VIONGOZI WAKUU WA EAC:



ajumbe wa mkutano wa Jumuia ya Afrika Mashariki wakijiandaa kuanza kujadili Azimio la kuongeza nguvu katika uwekezaji katika sekta za miundombinu na afya unaendelea mjini Kampala, Uganda.
Tanzania mbali na Rais Magufuli kushiriki, mawaziri kadhaa pia wanahudhuria mkutano huo akiwemo, Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni