Ijumaa, 23 Februari 2018

MKAKATI WA KUKUZA UTALII:

Image may contain: 1 person, standing, stripes and outdoor







Image may contain: outdoor


 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangala ameitaka TANAPA kwa kushirikiana na idara nyingine zilizopo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanaboresha vivutio vyote vya Malikale nchini ili kuweza kuwavutia watalii kwa wingi. Kigwangala ametoa kauli hiyo wakati alipotembelea mapango ya Amboni ambako ameelezwa kuwa kwa sasa idadi ya watalii imepungua kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo uchakavu wa miundombinu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni