
Leo klabu ya Yanga inatimiza miaka 83 tangu kuanzishwa kwake, Tarehe 11 February, 1935, ndio klabu kongwe zaidi Tanzania.
Historia muhimu.
1. Bingwa mara 27, Ligi kuu Tanzania Bars
2. Bingwa mara 5, Kagame Cup
3. Bingwa mara 6 kombe la Muungano
4.kufuzu robo fainali klabu bingwa Africa mwaka 1998
5.kufuzu hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Africa mwaka 2016.
6. Timu ya kwanza kucheza klabu Bingwa Africa kutoka Tanzania mwaka 1969
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni