Jumapili, 11 Februari 2018

Kocha wa Simba ametaja Kikosi kitakachoanza leo Taifa

Leo February 11, 2108 Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba inategemea kuingia uwanjani kucheza na Gendamarie Tnale kutoka Djibouti katika Kombe la Shirikisho barani Afrika nimekipata kikosi cha Simba kilichotolewa na Kocha Pierre Lechantre.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni