Jumatatu, 26 Februari 2018

Kamanda wa Polisi Arusha Charles Mkumbo amepata Ajali

Leo February 26, 2018 Kamanda wa Jeshi la Polisi Arusha Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa akilitumia kupasuka tairi la nyuma na kupoteza uelekeo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Arusha Yusuph Ilembo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema gari lilikuwa na watu watatu akiwemo Msaidizi wa Kamanda pamoja na Dereva na amesema hali zao zinaendelea vizuri.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni