mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumatatu, 19 Februari 2018
HESHIMA KWA MAKAMU: Makamu wa rais, Samia Suluhu Hassan leo hii amezindua mtaa uliopewa jina lake kwenye eneo la Bariadi Mjini mkoani Simiyu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni