Diwani huyo ameeleza kuwa ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya CHADEMA ndio sababu pekee iliyomfanya kuachana na Chama hicho huku akiunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Alhamisi, 22 Februari 2018
Diwani wa CHADEMA ahamia CCM, Songwe
Diwani huyo ameeleza kuwa ukiukwaji wa Demokrasia ndani ya CHADEMA ndio sababu pekee iliyomfanya kuachana na Chama hicho huku akiunga mkono juhudi za Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni