mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Alhamisi, 15 Februari 2018
BREAKING NEWS: Waziri Mkuu wa Ethiopia ajiuzulu
Waziri mkuu nchini Ethiopia Hailemariam Desalegn
Imedaiwa kuwa kiongozi huyo aliwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa
chama chake cha Ethiopia People's Demecratic front. Hatahivyo
haijabainika iwapo chama hicho kimekubali uamuzi wake au la
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni