Mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo.
Mzee Kingunge alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es
Salaam takriban mwezi mmoja uliopita.
M/mungu ailaze roho ya Mzee wetu mahala pema peponi Amin.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni