Ijumaa, 26 Januari 2018

#VPL Baada ya ushindi wa 2-0 iliyopata leo dhidi ya Mbao FC, Ruvu Shooting imejinasua kutoka mkiani na kupanda hadi nafasi ya 11 katika msimamo wa #VPL huku Mbao wakishuka kutoka nafasi ya nane hadi ya tisa. Kesho kunapigwa mechi nne ambazo ni: Azam FC vs Yanga SC, Mwadui FC vs Njombe Mji, Mbeya City vs Mtibwa Sugar, Kagera Sugar vs Lipuli FC.

No automatic alt text available.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni