Awali mauaji hayo yalikuwa yakiitwa mauaji ya kimbari ya Rwanda kama ambavyo imekuwa ikifahamika.
Rwanda imepokea kauli hiyo kwa pongezi kutokana na mauaji hayo kuonekana mara nyingi yakipotoshwa kwa kuyataja kinyume na yalivyokuwa.
Katika mauaji hayo yaliyotokea mwaka 1994, UN inataja idadi ya watu
laki nane ndiyo waliuawa huku serikali ya Rwanda ikishikilia watu
waliouawa wakati huo walikuwa zaidi ya milioni moja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni